FT : Namungo FC 0 Simba SC 3 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
712
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba umemalizika katika uwanja wa Majaliwa kwa wekundu wa Msimbazi kuondoka na alama 3 muhimu ugenini na Magoli 3

WAFUNGAJI:

⚽⚽Ahoua
⚽ Mukwala

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 
meshack2648

Mgeni
Feb 19, 2025
3
2
5

Simba wanacheza vizur ila Kuna vitu wanapaswa kuongeza

Wajue muda wa kumtafta mpinzani
Wajue wakati wakutuliza timu
Wajue namna ya kulazmisha ili kupata matokeo
Wajue namna ya kutorudisha mpira nyuma wakati sahihi si kila muda

Timu ndogo zijue namna ya kupambana na timu kubwa hizi siyo kujiandaa kibondia badala yake zijiandae ki mchezo

Namungo wangetulia wangeweza kupata sare kutokana na ubora waoh na mchezo zaidi

Yote na yote ni mchezo mzur na Simba itabaki kuwa simba
 
  • Like
Reactions: joven
Feb 19, 2025
1
1
5
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba umemalizika katika uwanja wa Majaliwa kwa wekundu wa Msimbazi kuondoka na alama 3 muhimu ugenini na Magoli 3

WAFUNGAJI:

⚽⚽Ahoua
⚽ Mukwala

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Jaman akuna ushindani pale kwann tff wasifanye uchunguzi wa malefa wanao chezesha mechi za Simba mbona matukio Yana jiludia kila mchezo
 
  • Like
Reactions: deesigner yenha

ngonzi inyomoza

Mpiga Chabo
Feb 19, 2025
2
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba umemalizika katika uwanja wa Majaliwa kwa wekundu wa Msimbazi kuondoka na alama 3 muhimu ugenini na Magoli 3

WAFUNGAJI:

⚽⚽Ahoua
⚽ Mukwala

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Ukweli match yaleo ilikuwa yakuvutia na ilikuwa ime sheheni matukio matamu
 
ngonzi inyomoza

Mpiga Chabo
Feb 19, 2025
2
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba umemalizika katika uwanja wa Majaliwa kwa wekundu wa Msimbazi kuondoka na alama 3 muhimu ugenini na Magoli 3

WAFUNGAJI:

⚽⚽Ahoua
⚽ Mukwala

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Mchezo ulikuwa wakuvutia na ulikuwa ume sheheni matukio matamu
 
mtu safi edesi

Mpiga Chabo
Feb 19, 2025
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba umemalizika katika uwanja wa Majaliwa kwa wekundu wa Msimbazi kuondoka na alama 3 muhimu ugenini na Magoli 3

WAFUNGAJI:

⚽⚽Ahoua
⚽ Mukwala

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Inahuzunisha Sana kuuona timu ndgo inafanyiwa fitina kama hizi tunapoteza ubora WA login Kwa uchezeshaji kama huu
 
beyond the limit

Mpiga Chabo
Feb 19, 2025
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Simba umemalizika katika uwanja wa Majaliwa kwa wekundu wa Msimbazi kuondoka na alama 3 muhimu ugenini na Magoli 3

WAFUNGAJI:

⚽⚽Ahoua
⚽ Mukwala

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Ulikuwa mnzuri ingawa matukio mengi sana but well done kwa refa kafanya kadri ya uwezo wake three penalties well assessed ila ile card ♦️ Sina neno