FT : SIMBA SC 2 APR 0 : Umeionaje Klabu ya Simba? Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Simba SC Kutoka Tanzania dhidi APR FC Kutoka nchini Rwanda umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa mabao

Umeionaje Klabu ya Simba?

Mchezaji Yupi amekuvutia?
Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?
 
iamsam

Mpiga Chabo
Jul 2, 2024
3
0
0
For really kuongeaa football mutale na debora fernandez ndoo wachezajee pakee ambaoo ni wazuri kwa hayaaa maingizo mapya
 
Mesha

Mgeni
Jun 21, 2024
3
1
5
Sasa wachezaji wa Simba wengi wana pace na wanaweza kuonesha chochote mda wote na wapo flexible sana
Hii inaprove coach ameweza kuendana na league na pia ameweza kuchagua wachezaji ambao wote watakuwa na ushindani wa namba kwenye kuanza
TUKUTANE LUPASO
 
Rayvanquish

Mpiga Chabo
Aug 3, 2024
2
0
0
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Simba SC Kutoka Tanzania dhidi APR FC Kutoka nchini Rwanda umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa mabao

Umeionaje Klabu ya Simba?

Mchezaji Yupi amekuvutia?
Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?
Simba inajitahidi sana tofauti na ya msimu uliyopita na ushauri wangu kwa kocha fadlu davids ni kwamba aendeleee kuwafundisha vizuri wachezaji waendelee kucheza pira amapiano

#UBAYAUBWELA🦁
 
Fred

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
8
0
0
Inacheza ila bado hakuna chemistry ya kiteam
Bado simba hauja onyesha ile hali ya kuwa team mchezon
 
Rayvanquish

Mpiga Chabo
Aug 3, 2024
2
0
0
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Simba SC Kutoka Tanzania dhidi APR FC Kutoka nchini Rwanda umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa mabao

Umeionaje Klabu ya Simba?

Mchezaji Yupi amekuvutia?
Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?
Simba wanajitahidi sana tofauti na ya msimu uliopita simba ni bora sasa ivi

#UBAYAUBWELA
 
kinsayaTZ

Mpiga Chabo
Aug 3, 2024
1
0
0
Kikosi kipya kiko mkwai na ni mbio mbio kiukweli wachezaji wana mori ya kucheza maoni yangu kwa kocha apangilie vizuri ni wapi na ni Nani akae wapi
 
King Walter

Mgeni
Jun 15, 2024
4
1
5
📌Awesu Awesu 🔥
📌D FERNANDEZ 🔥
D Ngoma bado NI nzito na Simba kuna kitu kidogo sana cha kurekebisha kocha kazi aliyo nayo ni katika safu ya ukabaji kuongeza kitu.
📌J Mutale Kasi nzuri na NI mwepesi kwa kupandisha mashambulizi

Simba ya sasa ipo vizuri na tusiongee kwa ushabiki wa simba na yanga ila tuudefine Mpira
Tukutane Lupaso tar 8