FT : Simba SC 2 CS Sfaxien 1 | Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
467
622
125
Mchezo wa makundi kombe la Shirikisho Afrika kati ya Wekundu Wa msimbazi dhidi ya CS Sfaxien umemalizika Kwa Wekundu wa Msimbazi kuondoka na ushindi wa bao 2 Kwa 1 yakifungwa na Kibu Denis.

Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?
 
Gao jr

Mgeni
Dec 15, 2024
1
2
5
Mchezo wa makundi kombe la Shirikisho Afrika kati ya Wekundu Wa msimbazi dhidi ya CS Sfaxien umemalizika Kwa Wekundu wa Msimbazi kuondoka na ushindi wa bao 2 Kwa 1 yakifungwa na Kibu Denis.

Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?
Team Inaenda vizri tu kikubwa ni kupunguza makosa katika safu ya ulinz na kuweza Kutumia vema nafasi za kufunga pia isitoshe mnaosema team haijakaa sawa huu ni mpira na sio PS