Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikikisho Afrika Baada ya kumtoa Al Ahli Tripoli Kwa jumla ya mabao 3 Kwa 1 huku Magoli ya Simba yakifungwa na Kibu,Ateba na Balua huku la Ahli Tripoli likifungwa na Mabululu
Umeuonaje Mchezo huu? Una Lipi la Kuzungumza kuelekea Makundi ?
Umeuonaje Mchezo huu? Una Lipi la Kuzungumza kuelekea Makundi ?