FT : Simba SC 4 Fountain Gate FC 0 | Mna Lipi La Kusema Wekundu Wa Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa Ligi Kuu Ya NBC kati ya klabu ya Simba dhidi ya klabu ya Fountain Gate umemalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa mabao 4 kwa sifuri

Umeionaje Simba ya Kocha Fadlu Davis? Unadhani kipi kinatakiwa kufanyiwa kazi zaidi na benchi la ufundi?

Wafungaji :
⚽Balua
⚽Mukwala
⚽Ahoua
⚽Mashaka