FT : Simba SC 4 Fountain Gate FC 0 | Mna Lipi La Kusema Wekundu Wa Kijiweni?

xizzahmikel

Mgeni
Aug 25, 2024
3
1
5
here we go ubaya ubwela nguvu moya
simba inakilakitu sasa wachezaji wapo na hali nzuri jezi no 17 ipo kwa mtu sahihi jean kweli ni
MVP goli la kideo huyu awesu na barua ni watu kagoma anaonyesha kile nyuma mwiko wanakitaka zimbwe nilimuona no 2 kapombe 6 huyo fondo na hamza kamara hajapata on target ya kusumbua lango lake top ni mashaka hupo sehemu sahihi mukwala sasa kile alikua anasubiri kapata kubu awe mtulivu karabaka anakitu simba imekamilika.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Kitiku son%

Mgeni
Aug 25, 2024
1
1
5
Simba wamejitahidi anachotakiwa kocha ni kuangalia zaidi madhaifu kwa safu zote I mean safu ya mabeki,safu ya katikati na safu na safu nyeti ya ushambuliaji because ligi ndo kwanza inaanza.pia mashabiki tupungunze jazba mambo mazuri hayahitaji haraka.💪💪💪💪Simba nguvu Moja 🦁🦁🦁🦁
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

ed ema

Mgeni
Aug 25, 2024
1
1
5
Nimeelewa zile wiki sita alizoomba Fadlu ni 2.2.2 iyo 2 ya mwisho najua ni attacking izo zingine tulishaziona uko nyuma
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

umar

Mpiga Chabo
Aug 25, 2024
1
1
0
#binafsi mabadiliko kwneye kikosi nayaona lakn NBC premier league n ya kiushindani sana hvyo to me the coach fadlu it's better ampe mukwala Steven muda wa kutosha ili kujihakikishia uwanda waagori mengi
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Kyoma

Mgeni
May 10, 2024
21
11
5
Simba akikutana na hawa utasikia amejipata he he he ila akikutana na Yanga "bado anajitafuta he he he,,,,, comments ziwe fupifupi
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

bamdogo

Mgeni
Jun 22, 2024
12
3
5
Simba saiv inaweza kukaa nampira kwa dakka hata tatu had nne mpizan hahauchukua hakika tupo vzuri sana nguvu moja hiii ndo tulikuwa tunaitaka sasa
 
  • Like
Reactions: Kijiweni