FT : Tabora United 0 Simba SC 3 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Nerick mwesiga

Mpiga Chabo
Feb 3, 2025
2
0
0
Nyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora

WAFUNGAJI:
⚽ ⚽Ateba
⚽ Kapombe
Simba wamecheza vizuri wanasitahili pongez,jambo la kuwashauri Tabora United wanapaswa kupunguza maneno na kuongeza vitendo zaidi