Simba msimu huu ubingwa wake
Boy42 Mpiga Chabo Feb 3, 2025 2 0 0 Monday at 12:29 AM #22 Nald jr said: Au sio sawa Simba bado anatengeniza team Click to expand... Mbovu lakini ndo ina chukua point3 hivo mzee
Nald jr said: Au sio sawa Simba bado anatengeniza team Click to expand... Mbovu lakini ndo ina chukua point3 hivo mzee
Boy42 Mpiga Chabo Feb 3, 2025 2 0 0 Monday at 12:34 AM #23 francosjr said: Simba timu mbovu bado wajipange sana Click to expand... Lakini ndo ina ongoza ligi mpaka sasa hv siet?
francosjr said: Simba timu mbovu bado wajipange sana Click to expand... Lakini ndo ina ongoza ligi mpaka sasa hv siet?
N Nerick mwesiga Mpiga Chabo Feb 3, 2025 2 0 0 Monday at 8:48 AM #24 Kijiweni said: Nyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora WAFUNGAJI: Ateba Kapombe Click to expand... Simba wamecheza vizuri wanasitahili pongez,jambo la kuwashauri Tabora United wanapaswa kupunguza maneno na kuongeza vitendo zaidi
Kijiweni said: Nyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora WAFUNGAJI: Ateba Kapombe Click to expand... Simba wamecheza vizuri wanasitahili pongez,jambo la kuwashauri Tabora United wanapaswa kupunguza maneno na kuongeza vitendo zaidi
N Nerick mwesiga Mpiga Chabo Feb 3, 2025 2 0 0 Monday at 8:56 AM #25 Nerick mwesiga said: Simba wamecheza vizuri wanasitahili pongez,jambo la kuwashauri Tabora United wanapaswa kupunguza maneno na kuongeza vitendo zaidi Click to expand... Tabora wajipange tu kupambambana na Timu zingine ila siyo Simba sc
Nerick mwesiga said: Simba wamecheza vizuri wanasitahili pongez,jambo la kuwashauri Tabora United wanapaswa kupunguza maneno na kuongeza vitendo zaidi Click to expand... Tabora wajipange tu kupambambana na Timu zingine ila siyo Simba sc