FT : Vital'O 0 Yanga SC 4, Wananchi Mna Lipi La Kusema Baada Ya Mchezo Huu?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliowakutanisha Vital'O Dhidi ya Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuanza vyema hatua ya awali Kwa ushindi wa magoli manne Kwa Sifuri

Magoli ya kwake Dube , Chama , Aziz Ki na Mzize
 
  • Like
Reactions: Kisuse

Roy Creation

Mpiga Chabo
Jun 16, 2024
9
0
0
Kabla cjarudiana na Vital'O naomba mechi ya Kirafiki na Kolowizard ili vijana wachangamshe damu kidogo maana sio mechi ya kuikalia kambi nicheze tu na makolo
 
  • Angry
Reactions: Mr moddy
Jul 15, 2024
6
4
5
Kabla cjarudiana na Vital'O naomba mechi ya Kirafiki na Kolowizard ili vijana wachangamshe damu kidogo maana sio mechi ya kuikalia kambi nicheze tu na makolo
Kolowizard ndo team gan,,,!!
Acha ushamba kudharau team za nchini kwako!!!
Huo n ulimbukeni!!!!
Hebu kawape support coastal nao wajickie kidogo
 
  • Like
Reactions: Kisuse

njovu master

Mgeni
Jul 24, 2024
10
1
5
Ongereni sana sana mtani kwa kuiwakilisha nchi yetu yaTanzania 🇹🇿 vizuri pia kwa kunwakilisha vyema mama samia suluh hasani asanteni sana nyie ni kwa sasa nawaita JWT cz naamini mumekunywa maji ya bendera ya nchi yetu mumevuja jasho na kuipigania bendera ya Tanzania 🇹🇿 na kuiweka nchi katika mikono sarama ikiwa inaamani ongereni sana wananchiiiiii🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🗣
 
Mr moddy

Mpiga Chabo
Aug 17, 2024
3
0
0
mm n simba damu, but in matter of cfcl niwapongeze yanga na niwatakie kila la khair, hakuna utani kwenye suala la kitaifa, hao wapuuzi wanaoleta utani waelimishwe hii n club bingwa, kwa niaba ya wapuuzi wanaoleta utani wa jadi kwenye hii michuano.
 
kaseka

Mpiga Chabo
Aug 17, 2024
1
0
0
Ongereni sana sana mtani kwa kuiwakilisha nchi yetu yaTanzania 🇹🇿 vizuri pia kwa kunwakilisha vyema mama samia suluh hasani asanteni sana nyie ni kwa sasa nawaita JWT cz naamini mumekunywa maji ya bendera ya nchi yetu mumevuja jasho na kuipigania bendera ya Tanzania 🇹🇿 na kuiweka nchi katika mikono sarama ikiwa inaamani ongereni sana wananchiiiiii🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🗣
Unanukia jangwan wewe