FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

Shekhan

Mpiga Chabo
Jun 22, 2024
5
1
0
Katika matamasha mabovu kuwahi kutokea katika historia ya mpira hili ni mojawapo
Very Unprofessional
Sijui wanatuchukuliaje yaani
Mimi nakaa Chanika nafikaje nyumbani muda huu😔😟
 
Master Wu

Mgeni
Aug 4, 2024
2
1
5
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Yanga Dhidi ya Red Arrows Kutoka nchini Zambia umetamatika Kwa Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?
Tar 8 Yanga anafungwa na Simba kivyovyote vile,,,kama unabisha njoo na mwanasheria wako,,😎
 
  • Like
Reactions: Mwanafalsa

njovu master

Mgeni
Jul 24, 2024
10
1
5
Shida makamu wa raisi alikuwepo uwanjani so waliogopa kumtia aibu Ana ndiomana wageni wamenyimwa penalty 🤣🤣🤣🤣 mbeleko star wangu wa leo ni Banda tu peke ake
 
Jul 25, 2024
7
2
5
Kwa upande wa Yanga kipindi cha kwanza Pacome kanifurahisha san , kipindi cha pili Azizi ki na Maxi Nzengeli wameupiga mwingi

Lkn kwa Red arrows yule goalkeeper wao apewe maua yake
 
  • Like
Reactions: MR. VIP

Mwanafalsa

Mpiga Chabo
Aug 4, 2024
6
0
0
Katika matamasha mabovu kuwahi kutokea katika historia ya mpira hili ni mojawapo
Very Unprofessional
Sijui wanatuchukuliaje yaani
Mimi nakaa Chanika nafikaje nyumbani muda huu😔😟
Ita uba kaka upo wap Nam pia nakaa uko nipo na pkpk twende ote
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
25
3
5
Kama kwa mabadiliko ya timu nzima na spiriti ikashuka mpaka red card basi lazima tujitafakari sana kwenye michezo ijayo hasa klabu bingwa na baadhi ya ligi kuu.
South Africa ni kama tulicheza na timu za daraja la chini kuondoa ile timu ya ujerumani FCA.
Ndio maana ni kama tulilewa sifa kuwa tunahatari na kumbe tunahitaji muda wa kutosha kujijenga.
Lakini pia usajiri wetu umepoa sana kwenye kubadili matokeo... Dube leo kama kafungwa mawe... Baleke pia hana muunganiko kabisa..
Chama anahitaji kuongeza nguvu zaidi kacheza vizuri isipokuwa ni kama hataki kuguswa.

Yote kwa yote LIGI msimu huu ni ngumu zaidi kuliko ya mwaka jana.
 
Tarry Mills

Mpiga Chabo
Aug 4, 2024
1
0
0
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Yanga Dhidi ya Red Arrows Kutoka nchini Zambia umetamatika Kwa Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?
Jezi nyekundu zimeonekana bora zaidi kuliko zile za majani ya miwa na machungwa majina tu makubwa afu 😂😂😂😂
 
Mwanafalsa

Mpiga Chabo
Aug 4, 2024
6
0
0
Kama kwa mabadiliko ya timu nzima na spiriti ikashuka mpaka red card basi lazima tujitafakari sana kwenye michezo ijayo hasa klabu bingwa na baadhi ya ligi kuu.
South Africa ni kama tulicheza na timu za daraja la chini kuondoa ile timu ya ujerumani FCA.
Ndio maana ni kama tulilewa sifa kuwa tunahatari na kumbe tunahitaji muda wa kutosha kujijenga.
Lakini pia usajiri wetu umepoa sana kwenye kubadili matokeo... Dube leo kama kafungwa mawe... Baleke pia hana muunganiko kabisa..
Chama anahitaji kuongeza nguvu zaidi kacheza vizuri isipokuwa ni kama hataki kuguswa.

Yote kwa yote LIGI msimu huu ni ngumu zaidi kuliko ya mwaka jana.
Bado amjasema mpaka msemeee
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
25
3
5
Katika matamasha mabovu kuwahi kutokea katika historia ya mpira hili ni mojawapo
Very Unprofessional
Sijui wanatuchukuliaje yaani
Mimi nakaa Chanika nafikaje nyumbani muda huu😔😟
Upo sahihi aliepanga ratiba kama hakuingiliwa na msemaji badi aliboronga sana kwenye ratiba..
Tamasha kama tumetoka kwenye ukumbi wa harusi saa sita kasoro na usafiri tizi kinoma au ndo kuingia gharama za kuita uba na boda za 25000 kufika Mwenge?