FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

Said G7

Mpiga Chabo
Aug 5, 2024
2
0
0
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Yanga Dhidi ya Red Arrows Kutoka nchini Zambia umetamatika Kwa Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia
Yanga na Simba zinabidi zipambane sana kutafta first eleven maana msimu huu ni msimu mgumu kuliko zilizopita.
 
Kylian

Mgeni
Jul 31, 2024
19
14
5
mchezo ulikua mzuri , ila kilichowapelekea yanga mpk kuwa vile ni over confidence pia walijawa sifa nyingi ila uwezo uwanjani ulikua mzuri. kuposses kwa wingi ila wamejifinza kitu naiman trh 8 watakua makini Sana
 
romy micdady

Mpiga Chabo
Aug 5, 2024
3
2
0
Wamebebwa sana kwenye penalty , red kadi isio na ulazima in case yanga wamezingua kuwa nyuma ya mchezo.... kama mashabiki sio kitu chakufurahia kabisa 😳😳😳
 
MAEMBE 4

Mpiga Chabo
Aug 5, 2024
1
0
0
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Yanga Dhidi ya Red Arrows Kutoka nchini Zambia umetamatika Kwa Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?
Yanga wasingebebwa Shuhuli ilikuwa ishatiwa Unajisi
 
Aug 2, 2024
2
0
0
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Yanga Dhidi ya Red Arrows Kutoka nchini Zambia umetamatika Kwa Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?
�𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒏𝒅𝒊𝒐� 𝒕𝒖𝒋𝒖𝒆 𝒕𝒐𝒇𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒕𝒆𝒂𝒎 𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒏𝒂 𝒌𝒊𝒕𝒊𝒎 𝒌𝒊𝒅𝒐𝒈 𝒚𝒂𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒍𝒖𝒌𝒂 𝒍𝒖𝒌𝒂 𝒊𝒍𝒂 𝒎𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝒎𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒕𝒖𝒖𝒖𝒖.. 𝒂𝒍𝒂𝒇𝒖 𝒎𝒄𝒉𝒆𝒛𝒂𝒋𝒊 𝒂𝒍𝒊𝒆 𝒏𝒊𝒗𝒖𝒕𝒊𝒂 �𝒏𝒊 �𝒌𝒊� 𝒂𝒛𝒊𝒛𝒊
 
Yahaya

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
2
0
0
Ngoja niwaibie Siri, Gamondi Anaakili sana, Walikuwa wamekodoa kwenye ma big tv Yao, Akasema isiwe inshu, Akawaambia, mechi tarehe 8, Leo tamasha, tukawachanganye upande wa pili Hadi waseme hamna timu hapa, kwanza nkane we beki Leo, Timu tarehe nane jamani.
 
Samsoni

Mgeni
Jul 23, 2024
7
2
5
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Yanga Dhidi ya Red Arrows Kutoka nchini Zambia umetamatika Kwa Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?
Goli kipa wa red arrows amejitahidi sana
 
Mich2023%

Mpiga Chabo
Aug 2, 2024
4
0
0
Nawashangaa mashabiki wanaosema yanga kacheza chini ya kiwango🙄,mtu anayejua hawezi kuibeza yanga kwa mchezo kama ule,kwanza ulikuwa ni mchezo wa entertainment tu,half mnashindwa kumheshim Gamond hapo,ndo alifanya rotation ya kikos vyote viwili kwa nyakat zote mbili.sasa ukitaka kujua yanga anachezaje akiwa anajambo lake angalia mchezo wanyuma yake wa toyota cup alichezaje,ndo utaelewa nn namaanisha ,half mschokijua yanga gamond anabadlka kutokana na mpinzan like pep gadiola.sasa we mwandamine yanga uje kichwakichwa utalia.