Nikawa nawaza au kwasababu mechi imepewa jina la dube?
kaitia mkosi Mana Huwa Hana bahati na magoli, nikawaza au tatizo liko Kwa wachezaji pia?, Nikawaza au mbinu alizotumia kocha Bado hajawa na muunganiko mzuri na squad yake? Nikawaza au playing style ileile alotoa ibenge dhidi ya nabi ndo imeleta yote haya?, nikawaza au wachezaji kutumika mda mrefu zaidi (misimu 3) kupelekea hata per4mance zao kudrop? Anyway kocha apewe muda, pia ndugu zangu yanga msikate tamaa, jambo la kuwakilisha nchi Bado mna nafasi ya kurekebisha na kuwaaminisha wengi, game ijayo mnaenda Kwa mc Alger, nawatakia Kila jema watani mkapeperushe vyema bendera ya nchi.
#Nguvumoja.