FT : Yanga SC 0 Al Hilal 2 | Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?

hamphrey

Mpiga Chabo
Nov 25, 2024
6
0
0
Mchezo Wa Ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya makundi kati ya Wananchi klabu ya Yanga dhidi ya Al Hilal Omdurman Kutoka Sudan umemalizika Kwa WANANCHI kupokea kipigo cha bao 2 kwa sifuri

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?
Dah wachezaj wamezingua kama mwenye iyo mechi ndo kazidi kuzingua na tunpongeze golikipa wa al hilal kwa kazi mzul aloifan
 

hamphrey

Mpiga Chabo
Nov 25, 2024
6
0
0
Mchezo Wa Ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya makundi kati ya Wananchi klabu ya Yanga dhidi ya Al Hilal Omdurman Kutoka Sudan umemalizika Kwa WANANCHI kupokea kipigo cha bao 2 kwa sifuri

Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?
Dah wachezaj wamezingua kama mwenye iyo mechi ndo kazidi kuzingua na tunpongeze golikipa wa al hilal kwa kazi mzul aloifanga
 

Abby08

Mgeni
Aug 31, 2024
2
1
5
Nikawa nawaza au kwasababu mechi imepewa jina la dube?😅 kaitia mkosi Mana Huwa Hana bahati na magoli, nikawaza au tatizo liko Kwa wachezaji pia?, Nikawaza au mbinu alizotumia kocha Bado hajawa na muunganiko mzuri na squad yake? Nikawaza au playing style ileile alotoa ibenge dhidi ya nabi ndo imeleta yote haya?, nikawaza au wachezaji kutumika mda mrefu zaidi (misimu 3) kupelekea hata per4mance zao kudrop? Anyway kocha apewe muda, pia ndugu zangu yanga msikate tamaa, jambo la kuwakilisha nchi Bado mna nafasi ya kurekebisha na kuwaaminisha wengi, game ijayo mnaenda Kwa mc Alger, nawatakia Kila jema watani mkapeperushe vyema bendera ya nchi.
#Nguvumoja.
 

Árafãt TX ⚡

Mpiga Chabo
Nov 26, 2024
1
0
0
Yanga walicheza vizuri sema shida ilikuja wakishafika kwenye box la Al hilal wali kuwa wanakosa mtu wa kumalizia vizuri hata hivyo bahati haikua kwao😌
 

Jordan official yanga

Mpiga Chabo
Nov 28, 2024
1
0
0
Mchezo ulikuwa mzuri lkn sisi kama mashabiki wa Wananchi tukubari kama tumepoteza tujipange na mchezo mwingine lkn timu yetu ijintathimini maana tunaoumia ni sisi mashabiki tuoneeni huruma tuna fedheheka Sasa maana hii ni mechi ya tatuu mfululizo jitaidini basi tuondokane na hii aibu jamani no hayo tuuu