FT : Yanga SC 1 KMC FC 0 | Umeuonaje Mchezo? Una Lipi La Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
342
473
25
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli

Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI!
 
Egugu

Mpiga Chabo
Sep 29, 2024
2
0
0
Wanatakiwa kuwa makini eneo la mwisho maana wakiendelea ivi wakikutana na timu kubwa watapata tabu
 
mapengo

Mpiga Chabo
Sep 29, 2024
3
0
0
Hii timu wachezaji wanachota mana kila mechi wamo na wanacheza Kwa nguvu sana inabidi awe anafanya mzungunguko Kwa wachezaji
 
Mr.Japh🤴

Mpiga Chabo
Sep 29, 2024
2
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli

Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWEkwa
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli

Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI!
Kwa mchezo wao wa leo bado sana na wanakoelekea nokufungwa
 
Mr.Japh🤴

Mpiga Chabo
Sep 29, 2024
2
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli

Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWEkwa
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli

Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI!
Kwa mchezo wao wa leo bado sana na wanakoelekea nikufungwa
 
luse twaxie

Mgeni
Jul 4, 2024
5
1
5
Admin mm naboeka sana kwann utuahid unaleta riwaya alaf hulet ..siku mbili now ..Kuna wengne hum sio wapemzi sana WA Mpira tukiona matokeo inatosha ..bas kabla ya Mpira iachie story af ndo TUENDELEE na mengine ...mm spend kweli