Dah yanga hii kunasehemu wanaleta utani kuna siku game itawalalia inabidi wachezaji waache mzaha kama chama chenga nyingiLigi ya bongo saiv imekua ya ushindani sanaa..
Hivi ndivyo inavyo takiwa
Hao washakuw kimoko Fc na Bado SI walisema mwanzon sie tunachez na timu zinawachezaj hawan kibali sasa wakawaulize AzamWalitucheka xn tupopapata goli 1 sa sijui wao wamefunga mangapi?
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli
Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWEkwa
Kwa mchezo wao wa leo bado sana na wanakoelekea nokufungwaMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli
Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI!
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli
Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWEkwa
Kwa mchezo wao wa leo bado sana na wanakoelekea nikufungwaMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KMC Umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi bao 1 Kwa sifuri likifungwa na Maxi Nzengeli
Umeuonaje Mchezo wa Leo? Una kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI!
Nikweli Ila marefa nao inabidi awe wanabadilika jinsi ya uchezeshaji wao ulete tijaLigi ya bongo saiv imekua ya ushindani sanaa..
Hivi ndivyo inavyo takiwa
Yaah na kweli walicheka saana maji hufuata mkondo? MleMleWalitucheka xn tupopapata goli 1 sa sijui wao wamefunga mangapi?