FT : Yanga SC 1 KMC FC 0 | Umeuonaje Mchezo? Una Lipi La Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI?

bamdogo

Mgeni
Jun 22, 2024
9
3
5
Yanga shida hawaijui ila mda ukifka watajua tu,, maana chama saiv ni kijin watakuwa wanashida kamoja mwishowe sare zitamalaki, kwan sisi siilkuwaga hivi hiv akawa anatuponza miaka yote mitatuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kuna jambo lonakuja, masitaa wote hao kimoja tu haya niko paleee ngojen tu, wasiposhtuka mapema nkamzozo itakuwa