Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 0 yakifungwa na Pacome Zouzoua pamoja na Clatous Chota Chama Mwananchi Wa Kijiweni Umeuonaje Mchezo Wa Leo?