FT : Yanga SC 4 Prisons 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
467
622
125
Wananchi wana takata kwenye uwanja wa KMC Complex baada ya kuwafunga Tanzania Prisons magoli 4 kwa 0 na kuchukua alama 3 muhimu

WAFUNGAJI :

⚽ Mzize
⚽ Bacca
⚽⚽Dube

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?