Kwa kweli hata Mimi like goli sijalielewa vizuriWamecheza vizuri,ila goli la nne la Baca Ni la mkono kabisaaaaa.
Bacca 2Wananchi wana takata kwenye uwanja wa KMC Complex baada ya kuwafunga Tanzania Prisons magoli 4 kwa 0 na kuchukua alama 3 muhimu
WAFUNGAJI :
Mzize
Bacca
Dube
Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Sio kidogo sana tyuBado kidogo Young Africans itarudi kuwasumbua