FT : Yanga SC 6 CBE SA 0 | Umeona Kitu Gani Leo? Unadhani Kuelekea Makundi Klabu Ya Yanga Wanatakiwa Kurekebisha kitu Gani?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
619
125
Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya klabu Bingwa barani Afrika Baada ya kuiondoa klabu Kutoka nchini Ethiopia ya CBE SA kwa jumla ya magoli 7 Kwa 0 ukiunganisha na Ile Mechi ya kwanza waliyoshinda bao 1 Kwa 0

Umeona kitu Gani Leo? Unadhani kuelekea Makundi klabu ya Yanga wanatakiwa kurekebisha kitu Gani?
 
Jun 11, 2024
13
5
5
Hata hivyo, kuelekea hatua za makundi, kuna maeneo kadhaa ya kuimarisha:

1. Ulinzi Imara: Ingawa walishinda kwa ushindi mkubwa, bado walionekana kutoa nafasi kwa wapinzani wao. Kwa timu kubwa zinazokutana nazo kwenye makundi, nafasi hizo zinaweza kugeuzwa kuwa mabao.


2. Kudhibiti Gemu Mapema: Yanga ilicheza vizuri zaidi katika kipindi cha pili, hivyo wanahitaji kuhakikisha wanadhibiti mchezo mapema bila kusubiri kucheza vizuri zaidi nusu ya pili pekee.


3. Kuimarisha Kati ya Uwanja: Huku safu ya mbele ikiwa imara, wanahitaji kuendelea kuimarisha kiungo chao ili wawe na uwezo wa kudhibiti mchezo kwa muda mrefu zaidi dhidi ya timu zenye viwango vya juu.



Kwa ujumla, timu inafanya vizuri lakini inahitaji kufanya marekebisho madogo kwenye ulinzi na utulivu wa mchezo ili kufanikiwa zaidi kwenye hatu
a ya makundi.
 
  • Like
Reactions: Jackson polyckarp

Jackson polyckarp

Mpiga Chabo
Sep 21, 2024
2
0
0
Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya klabu Bingwa barani Afrika Baada ya kuiondoa klabu Kutoka nchini Ethiopia ya CBE SA kwa jumla ya magoli 7 Kwa 0 ukiunganisha na Ile Mechi ya kwanza waliyoshinda bao 1 Kwa 0

Umeona kitu Gani Leo? Unadhani kuelekea Makundi klabu ya Yanga wanatakiwa kurekebisha kitu Gani?
Umajin
 

Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
13
5
6
Boko dovya
TIMU BORA KABISA.
Mechi bora kabisa. What a rotation, πŸ€” what a performance, πŸ”₯ I like that aggressive mindset πŸ˜‰. Uyu chama yaani kama ni under 20 ivi. Miguel gamondi master I salute you.
Hawa CBE πŸ€• kweli ni mabingwa lakini uko mkoani kwao sio uku CAF (taifa) .


Agreed πŸ’―
 
Sep 23, 2024
1
0
0
Hahahahah hivi niulize swali mimi sio simba wala yanga ila nitimugani uanza vizuri na umaliza vibaya D ziwe mbili ili mjibu swali langu nipo pale kijiweni na ngojea jibu