FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo Wa kimataifa wa Kirafiki wa kujiandaa na na Msimu wa Mwaka 2024/2025 kati ya Augsburg Kutoka nchini Ujerumani inayoshiriki Ligi Kuu Ya Bundesliga pamoja na Yanga Kutoka TANZANIA inayoshiriki Ligi Kuu Ya NBC Umemalizika Kwa WANANCHI kukubali kichapo Cha bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Huu?
 
  • Like
Reactions: Paresso innocent

manufred

Mgeni
Jun 23, 2024
6
1
5
π΄π‘›π‘”π‘Ž π‘–π‘šπ‘’π‘β„Žπ‘’π‘§π‘Ž π‘£π‘–π‘§π‘’π‘Ÿπ‘– π‘˜π‘–π‘π‘–π‘›π‘‘π‘– π‘β„Žπ‘Ž 𝑝𝑖𝑙𝑖
 
  • Like
Reactions: Abihud Amos Hatura

manufred

Mgeni
Jun 23, 2024
6
1
5
π‘Œπ‘Žπ‘›π‘”π‘Ž π‘€π‘Žπ‘šπ‘’π‘‘π‘–π‘ β„Žπ‘Ž π‘ π‘Žπ‘›π‘Ž
 
francosjr

Mgeni
May 2, 2024
12
8
5
Yanga saiv imekuwa ya moto mno ndani kuna watu nje kuna watu sio kama wao waliofungwa 6-2 tena na time daraja la pili
 
Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
16
4
5
Mnaosema tumecheza vibaya chezeni mechi zenu tuwaone vijana, Nawakumbusha yanga iliyocheza leo na kushinda kiungo alikuwa Shekhan
 
Miss Candy

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
2
0
0
Yanga saiv imekuwa ya moto mno ndani kuna watu nje kuna watu sio kama wao waliofungwa 6-2 tena na time daraja la pili
Hahahahahahah uliwahi ona Simba wamepiga any kind of match since wamefumua kikosiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yanga wabovu tuuu wameanza kupigwa tenΓ‘ bahati nzuri waliosajiliwa wote wamechezaaa
 
Miss Candy

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
2
0
0
Mchezo Wa kimataifa wa Kirafiki wa kujiandaa na na Msimu wa Mwaka 2024/2025 kati ya Augsburg Kutoka nchini Ujerumani inayoshiriki Ligi Kuu Ya Bundesliga pamoja na Yanga Kutoka TANZANIA inayoshiriki Ligi Kuu Ya NBC Umemalizika Kwa WANANCHI kukubali kichapo Cha bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Huu?
Mchezo of course ulikuwa mzuri sana upande wangu lakini kikowapi school cha 6- 1 na Mbn hamn maajabu wachezaji wapya walikuwa uwanjan MPV wote