FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

Jul 21, 2024
3
0
0
m
Mchezo Wa kimataifa wa Kirafiki wa kujiandaa na na Msimu wa Mwaka 2024/2025 kati ya Augsburg Kutoka nchini Ujerumani inayoshiriki Ligi Kuu Ya Bundesliga pamoja na Yanga Kutoka TANZANIA inayoshiriki Ligi Kuu Ya NBC Umemalizika Kwa WANANCHI kukubali kichapo Cha bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Huu?
pira ulikuwa mzur ila mapungufu yafanyiwe kaz napia safu ya ulinzi ya Yanga nichujio wanampa tabu kipawao sana yani viongozi walitakiwa watafute Beki mmoja wa nyuma kijana ambaye watakuwa nae mudamrefu kidogo ila kwa safu ya ushambuliaji siyo mbaya japo Chama kunamechi na mechi mana mzito mno japo anatumia akili mingi ila akikutana na vijana wanaokimbia mudawote hatakiwi kuanza mana hana mapafu ya farasi
 

aman

Mgeni
Jul 21, 2024
2
1
5
Nasemajee,wazee wayanga kama wamefanya mchezo uonekane nbaya hivi😅 kiufupi wazee ttawakimbiza tr 8 pale lupaso Benjamin mkapa stadium 🏟️,,ubaya ubwela,tuna mtale jamaa anapima umri sahh😂😅😅😀
Jana wamecheza na under17 wanajitamba wao bora 😅,
UBAYA UBWELA 😅 😅