FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

Mchezo wa Nusu Fainali Ya NGAO Ya JAMII 2024 Umemalizika Kwa klabu ya Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri na Kutinga Hatua ya Fainali Ambapo anaenda kukutana na Azam FC

Umeuonaje Mchezo huu? Mchezaji Gani Kakukosha?
 
shakiri msangi

Mpiga Chabo
Aug 8, 2024
8
0

kqnifurahisha Sana max
 
Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
16
4
5
Mnaosema Simba imecheza vizuri,on target zilikuwa ngapi?au mlikuwa mnacheza mpira usio na malengo,kucheza mmecheza kweli lkn mpira haukuwa wa malengo, mshukuru lenzimeni tu yangekuwa magoli matatu
 
Dommy

Mpiga Chabo
Aug 8, 2024
1
0
0
Leo nimeiona Simba Ile ya 2018/19 inaenergy sana ikiwa kama itatulia bila migogoro Kuna watu watataftana sana
 
more fire

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024
7
0
0
Marefa wamezingua hasa washika vibendera kwa upande wa off side zile hazikuwa offside huenda ujio wa VAR utaokoa jahazi
 
mwenye uwanja

Mpiga Chabo
Aug 8, 2024
1
0
0
FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

Mchezo wa Nusu Fainali Ya NGAO Ya JAMII 2024 Umemalizika Kwa klabu ya Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri na Kutinga Hatua ya Fainali Ambapo anaenda kukutana na Azam FC

Umeuonaje Mchezo huu? Mchezaji Gani Kakukosha?
Wanasema eti pasi ya dube kwenda kwa max hawakuiona, all in all kikosi changu Kiko imara tu , mchezaji wangu WA siku Ni Dube alifanya maamzi ya haraka sana kumpa max mpira,
 
conoso Jr

Mpiga Chabo
Aug 8, 2024
1
0
0
Binafsi yangu simba imeimprove sana wachezaji wetu wengi ni wageni hawana uzoefu na dabiy hii lakin pia kila mchezaji aliyesajiliwA anauwezo mkubwa, nawapongeza sana Kwa KAZI mzuri, mwakA huu ni wasimba,tutakutana tena tu
 
Fox Khan

Mpiga Chabo
Jul 20, 2024
2
0
0
FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

Mchezo wa Nusu Fainali Ya NGAO Ya JAMII 2024 Umemalizika Kwa klabu ya Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri na Kutinga Hatua ya Fainali Ambapo anaenda kukutana na Azam FC

Umeuonaje Mchezo huu? Mchezaji Gani Kakukosha?
FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Azam fc 5 costo union 2 : Yanga SC 1 Simba SC 0 sasa naona wamejitenga wa shilikisho na wa ligi ya mabingwa tarehe 11 saa9 kutakua na maonesho ya lasta na mitindo ya baikoko. baada ya maonesho sasa ndipo final ya lamba lamba na mabingwa itaanza saa1 usiku. Je mabingwa watazidiwa na utamu wa bakhresa ama watamtia hasara kwa kumlambisha utamu wake.