FULL TIME : Simba SC 0 Yanga SC 1 | Umeionaje Dabi Ya Kariakoo?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
353
483
25
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli

Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa Msimu 2024/2025
 
  • Like
Reactions: Enck

romy micdady

Mpiga Chabo
Aug 5, 2024
3
2
0
Mpira uliotoka nje ndy goal kweli
Hii Tanzania rise man wamelala tu inauma point tatu zinachukuliwa kizembe ivyo
Kama kuna mtu anabisha mka review match high light
 
  • Like
Reactions: Enck

Weldo

Mgeni
Aug 6, 2024
4
2
5
Simba imejitaidi sana Leo hadi kufukia dakika ya 85 kwaile pumzi ya Yanga ama kweli Simba wame jipata , binafsi Mimi nawa pongeza japo Mimi ni mwananchi ongereni watani.

Japo amutuwezi lakini naamini team zingine muta zifunga sana 😂
 
kevoo_d096

Mpiga Chabo
Oct 19, 2024
1
1
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli

Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa Msimu 2024/2025
Yan Simba hadi ijekumfunga yanga.....labda Mpaka migomba itoe mbao
 
  • Like
Reactions: Enck

romy micdady

Mpiga Chabo
Aug 5, 2024
3
2
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli

Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa
Sio mechi ya kuchambua hii magori ni kama namba tu kama mwana simba inaniuma gori la kitapeli kama lile ... hii ndy ligi bora namba sita
 
  • Like
Reactions: Enck

KI@10

Mgeni
Oct 19, 2024
1
1
5
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Max Nzengeli

Umeionaje Dabi Ya Kwanza Ya Kariakoo Kwa Msimu 2024/2025
Moja ya derby mbaya kuwah kuona uenda maji yamechangia🤕
 
  • Like
Reactions: Enck