FULL TIME : Simba SC 0 Yanga SC 1 | Umeionaje Dabi Ya Kariakoo?

Noelzm

Mgeni
Oct 2, 2024
6
2
5
Bahati haikua Kwa Simba na ilikua siku mbaya kazini Kwa kijili.......anyway hongereni wananchi but Simba wako vzr this time
Ila waamuzi wa leo sijapendezwa na maamuzi yao kabisaa
 

Enck

Mgeni
Sep 18, 2024
13
2
5
Daah me sina chakusema maan kuongea so suluhisho la panya lord leo kafia kwa mkapa kimoja tyu mwaka huu panya lord habebii hata mapinduzi