FULLTIME: Yanga SC 6 KenGold FC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
515
676
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya KenGold umemalizika katika uwanja wa KMC Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi wa Mabao 6 Kwa 1

WAFUNGAJI :
⚽ ⚽Dube
⚽ ⚽Mzize
⚽ Pacome
⚽ Duke

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 
Nov 7, 2024
21
5
5
Kilichowaumiza kengold ni kipa na beki wa kulia kwani hawakuwa na umakini wowote yanga wapewe tu pongezi kwa kutumia nafasi walizoziacha wapinzani wao ila pia ken haijacheza na wote waliosajiliwa hiyo nayo faida kwa yanga
 
Jun 11, 2024
14
5
5
Ilikua mechi nzuri Yanga walikua wana press sana mpaka imepelekea Ken gold kushindwa kuhimili mashambulizi ya Yanga
All in all Ken gold wameshinda gori zuri sanaa
 

Scalion

Mgeni
Sep 21, 2024
10
3
5
Yanga alistahili kupata ushindi mnono zaidi ya huu alio pata kwasababu ken gold walikua wanafanya makosa mengi sana pongezi kwa yanga tumepata ushindi mzuri kwetu na nimwendelezo mzuri pia
Ila sasa pongezi kuuuuubwa kwa ken gold kwa lile gori walilo tufunga hakika naliona likiwa gori bora la msimu