Ken gold Kamdomo KamewaponzaMchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya KenGold umemalizika katika uwanja wa KMC Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi wa Mabao 6 Kwa 1
WAFUNGAJI :
Dube
Mzize
Pacome
Duke
Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?