Huu ni Uwanja wa klabu ya AZAM FC unaofahamika kwa jina la Azam Complex unaopatikana wilaya ya Temeke katika Jiji la Dar Es Salaam. Ili uweze kuutumia uwanja huu gharama zake ni kama ifuatavyo:
*(
Kwa Timu Za Tanzania
)*
*Kuchezea Mechi Ni Milioni Tano La Tisa (5,900,000)*
*Kufanyia Mazoezi Bila Taa Ni Laki Sita (600,000)*
*Kufanyia Mazoezi Usiku Ni Milioni Moja Na Laki Tano (1,500,000)*
*Kwa Timu Ambazo Sio Za Tanzania*
*Kufanya Mazoezi USD 1000*
*Kucheza Mechi USD 5000*
Umezionaje Gharama Hizi? Una Lipi La Kusema Mwana Kijiweni? Njoo Tuzungumze Kijiweni Sasa