Gharama Za Kutumia Uwanja Wa AZAM COMPLEX Ndio Hizi Hapa

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Huu ni Uwanja wa klabu ya AZAM FC unaofahamika kwa jina la Azam Complex unaopatikana wilaya ya Temeke katika Jiji la Dar Es Salaam. Ili uweze kuutumia uwanja huu gharama zake ni kama ifuatavyo:

*(➡️Kwa Timu Za Tanzania🇹🇿)*

*Kuchezea Mechi Ni Milioni Tano La Tisa (5,900,000)*

*Kufanyia Mazoezi Bila Taa Ni Laki Sita (600,000)*

*Kufanyia Mazoezi Usiku Ni Milioni Moja Na Laki Tano (1,500,000)*

*Kwa Timu Ambazo Sio Za Tanzania*

*Kufanya Mazoezi USD 1000*

*Kucheza Mechi USD 5000*

Umezionaje Gharama Hizi? Una Lipi La Kusema Mwana Kijiweni? Njoo Tuzungumze Kijiweni Sasa ➡️➡️

AZAM COMPLEX.jpg
 
Jozzy

Mpiga Chabo
Sep 10, 2024
1
0
0
je

View attachment 1549
kwa uwanja wa mkapa gharama zimesimamaje
 
nanjota

Mpiga Chabo
Sep 10, 2024
2
0
0
Kama Ina wezekana waongeze kwa apo timu za ndani ili timu zetu ziache siasa na kujitafutia makazi yao
 
Ndoki

Mpiga Chabo
Sep 10, 2024
1
0
0
Me naona hiyo ni ndogo wangeongeza iwe mara mbili ili wanufaike zaid cz kwenye ligi hawana nafac ya kubeba
 
willibrod

Mpiga Chabo
Sep 13, 2024
2
0
0
Huu ni Uwanja wa klabu ya AZAM FC unaofahamika kwa jina la Azam Complex unaopatikana wilaya ya Temeke katika Jiji la Dar Es Salaam. Ili uweze kuutumia uwanja huu gharama zake ni kama ifuatavyo:

*(➡️Kwa Timu Za Tanzania🇹🇿)*

*Kuchezea Mechi Ni Milioni Tano La Tisa (5,900,000)*

*Kufanyia Mazoezi Bila Taa Ni Laki Sita (600,000)*

*Kufanyia Mazoezi Usiku Ni Milioni Moja Na Laki Tano (1,500,000)*

*Kwa Timu Ambazo Sio Za Tanzania*

*Kufanya Mazoezi USD 1000*

*Kucheza Mechi USD 5000*

Umezionaje Gharama Hizi? Una Lipi La Kusema Mwana Kijiweni? Njoo Tuzungumze Kijiweni Sasa ➡️➡️

View attachment 1549
nisawa kwa ghalama zake maana pia we nyew unatumia ghalama kubwa ili upndze kua hvo