Hii game ilishaisha kabisa.
Ukweli ni kwamba Kwa yoyote alieona hii game tulianza dharau Baada ya kupata goli la pili,pasi za kistaa wakati goli Moja halina dhamana ujinga tu.
Tungecheza hii game kama bado Tupo nyuma ilikua ni historia nzuri sana Leo. Man U yashinda Kwa mara ya kwanza Nou Camp chini ya kocha mpya
Timu imejitaidi sana, kulingana na wachezaji tulionao.
Inaonyesha dhahiri still tunashida ya kuzuia defence Bado Kwa united
Defence ya Barca iko uchi sana tungempata mtu wa calliber ya Rashford basi tungeweza wasumbua sana leo
Hawa Barca wakawaida sanaaaaaa mpk wanalazimisha cross wafunge
Ila waarabu wamlete Mbape OT mana collabo lake na Rashid litakuwa
Tukutane kwenye matofali ya kuchoma
️