Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Nimewatazama Wapinzani wote msimu huu naiona Simba yetu ikifanya maajabu ya dunia

Mpaka sasa Simba ndio timu yenye Wachezaji bora wenye viwango vikubwa mno, kilichobaki ni Mwalimu kutengeneza timu yenye mtiririko, muunganiko na maelewano ya pamoja

Eneo pekee linalohotaji nguvu mpya ya Nje ni eneo la Ushambuliaji nalo viongozi wetu wanakamilisha mpango hivi punde

Wana Simba tuwe na subira tumpe nafasi Mwalimu wa kufanya kazi yake tutakapoanza kula matunda ya furaha kila mtu atapata tunda lake

Ubaya Ubwela unaenda kukamilika
 
dkt.bibes

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
1
0
0
kiukweli simba itakuwa bora msimu ujao lakn sio kwa msimu msimu mashabuki wavumilie timu yako maan ata mtoto mdogo awezi kunywa maziwa ya ng'ombe akiwa na mwezi mmoja
 
Mr cotton

Mgeni
Aug 12, 2024
1
1
5
Politics na football ⚽ ni vitu viwili tofauti kabisaa ingekuwa msemaji pekee ndo kaangalia match apo saw uzur football ⚽ ni mchezo wa wazi Kila MTU anaona mwanetuu aache porojo na siasa wazee wa tasaff wapo vizurii kikubwa kujipanga TU no way
 
  • Like
Reactions: Dj_kanyenye

Bakari Athumani Ally

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
2
0
0
Nimewatazama Wapinzani wote msimu huu naiona Simba yetu ikifanya maajabu ya dunia

Mpaka sasa Simba ndio timu yenye Wachezaji bora wenye viwango vikubwa mno, kilichobaki ni Mwalimu kutengeneza timu yenye mtiririko, muunganiko na maelewano ya pamoja

Eneo pekee linalohotaji nguvu mpya ya Nje ni eneo la Ushambuliaji nalo viongozi wetu wanakamilisha mpango hivi punde

Wana Simba tuwe na subira tumpe nafasi Mwalimu wa kufanya kazi yake tutakapoanza kula matunda ya furaha kila mtu atapata tunda lake

Ubaya Ubwela unaenda kukamilika
🤣🤣
 
King Panda

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
1
0
0
Ni msemaji, kwahiyo anaruhusiwa kusema chochote kuhusu timu yake,.
Hapo anaongea ili kuwatia moyo mashabiki na wanachama wa simba ila kiuhalisia bado timu haijafikia kiwango anacho kisema, ipo sawa na na wapinzani wake.
 
Ally shaban

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
1
0
0
Nikweli timu inahitaji mshambuliaji mnyumbulifu pia Simba inahitaji kuondoa ubinafsi kwenye wachezaji niwachezaji wazur sana ila wawe kitu kimoja kuleta matokeo yatim