Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

Robert mbena

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
3
0
0
Nimewatazama Wapinzani wote msimu huu naiona Simba yetu ikifanya maajabu ya dunia

Mpaka sasa Simba ndio timu yenye Wachezaji bora wenye viwango vikubwa mno, kilichobaki ni Mwalimu kutengeneza timu yenye mtiririko, muunganiko na maelewano ya pamoja

Eneo pekee linalohotaji nguvu mpya ya Nje ni eneo la Ushambuliaji nalo viongozi wetu wanakamilisha mpango hivi punde

Wana Simba tuwe na subira tumpe nafasi Mwalimu wa kufanya kazi yake tutakapoanza kula matunda ya furaha kila mtu atapata tunda lake

Ubaya Ubwela unaenda kukamilika
Yaaan apa kuelewa mpaka uwe na D 2 bila Ivo huwez ukaelewa hat kidogo
 
Asheri.P

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
3
0
0
Nimewatazama Wapinzani wote msimu huu naiona Simba yetu ikifanya maajabu ya dunia

Mpaka sasa Simba ndio timu yenye Wachezaji bora wenye viwango vikubwa mno, kilichobaki ni Mwalimu kutengeneza timu yenye mtiririko, muunganiko na maelewano ya pamoja

Eneo pekee linalohotaji nguvu mpya ya Nje ni eneo la Ushambuliaji nalo viongozi wetu wanakamilisha mpango hivi punde

Wana Simba tuwe na subira tumpe nafasi Mwalimu wa kufanya kazi yake tutakapoanza kula matunda ya furaha kila mtu atapata tunda lake

Ubaya Ubwela unaenda kukamilika
Ni swala la mda tu,mda utaongea...
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Ifike muda matendo yaongee zaidi kuliko maneno. Sisi tunataka impact ya usajili uliofanyika. Mbwembwe zingine ni just rubbish.