HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”
”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”
- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.