Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
 
magrid junior

Mpiga Chabo
Jun 22, 2024
1
0

Unavokuwa unaunda upya kikosi hupaswi kumuangalia mtu usoni hivyo, Mo Dewji anamaanisha yeyote ataetaka kutoka mwacheni aende naona analenga sana kwa triple C
 
Chumo

Mgeni
Jun 22, 2024
4
1
5
A
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.m

HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Mwamba wa lusaka anatusumbua huyu
 
masadu jr

Mgeni
Jun 8, 2024
4
1
5
Yaaap tajil Yuko sahihi kikubwana wanao kuja wawe bola kuliko wanaotokata but huweziiiiiiiiiiii mlazimishaaa abak kwa club 💯
 
Burandi

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
2
0
0
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Yupo sawa sana kumbe kweli yupo sirious na kujenga timu
 
FarryFAijARA

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
1
0
0
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Kama ambavyo huwa tunakubaliana siku zote kwamba hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu.. naunga mkono hoja yake, na kimsingi mzee Ferguson alitufunza kwa mifano hai juu ya kuishi na kauli hii.

Mwaheni aende anapoona anakwenda kupiga pesa zaidi.. sisi tumegoma😄
 
heisdee01

Mgeni
Jun 9, 2024
2
1
5
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Karibu Young Africans CCM😁
 
micksalum

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
1
1
0
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Moo yupo sahii huwenda tukasema maneno ya mkosaj
 
  • Like
Reactions: Matthew m.t Zachary