Ipi Mechi Yako Bora Mzunguko Wa Kwanza NBC Premier League 24/25?

sungura kaswahili

Mpiga Chabo
Dec 30, 2024
3
0
0
Yanga ni moja ya timu pendwa na bora san Tanzania ina wachezaji wazur na imara kbs wenye juhudi kubwa kbs katika majukumu yao mpinzan wet bdo anakaz kubwa san wajipange tu
 
John paul

Mpiga Chabo
Dec 27, 2024
3
0
0
Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC umemalizika Kwa mwaka 2024 huku tukisubiria mzunguko wa pili Kwa mwaka 2025

Tumeshuhudia Mechi nyingi sana ambazo zimekua na ushindani mzuri sana na matokeo ya kushangaza pia

Ipi Mechi Yako Bora?Yanga na Tabora daah ilinioa surprise sanaa
 
John paul

Mpiga Chabo
Dec 27, 2024
3
0
0
Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC umemalizika Kwa mwaka 2024 huku tukisubiria mzunguko wa pili Kwa mwaka 2025

Tumeshuhudia Mechi nyingi sana ambazo zimekua na ushindani mzuri sana na matokeo ya kushangaza pia

Ipi Mechi Yako Bora?Yanga na Tabora daah ilinioa surprise