Young africansMzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC umemalizika Kwa mwaka 2024 huku tukisubiria mzunguko wa pili Kwa mwaka 2025
Tumeshuhudia Mechi nyingi sana ambazo zimekua na ushindani mzuri sana na matokeo ya kushangaza pia
Ipi Mechi Yako Bora?