Tumeona jinsi ambavyo kila timu imejinasibisha kuwa imefanya usajili wao kwa ajili ya msimu wa mashindano wa mwaka 2024/2025. Tunafahamu pia kuwa kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia hapa Kijiweni lakini kwa namna ambavyo usajili umefanyika zipi unaona ni klabu ambazo zitasshika nafasi 5 za juu? Anza na
1: Bingwa
2: Mshindi wa Pili
3: Mshindi wa Tatu
4: Nafasi Ya Nne
5: Nafasi Ya Tano
Twende Kazi Sasa
1: Bingwa
2: Mshindi wa Pili
3: Mshindi wa Tatu
4: Nafasi Ya Nne
5: Nafasi Ya Tano
Twende Kazi Sasa