Je, Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
619
125
RAIS wa klabu ya Yanga Sc Engineer Hersi Said amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado hajasaini nyongeza ya mkataba mpya klabuni hapo na kubainisha kuwa mazungumzo bado yanaendelea lakini hakuna kilichokamilika baina ya pande hizo mbili. Swali Ni Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?
 
Paulomlewa

Mgeni
Jul 9, 2024
1
1
5
Siwezi kusema ni sahihi au siyo sahihi,,ila nachoweza kusema ni kwamba Azizi Ki bado ni key player ndan ya Yanga,,na anahitajika zaidi kuongeza nguvu hasa katika michuoni ya CAF Champions Leageu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

SHEMA

Mgeni
Jul 9, 2024
3
2
5
Aziz ki kapewa offer na timu kubwa barani Africa Tena offer nono yenye Tija kwenye maisha yake ya soko .hivyo bas ndy maana yanga walipambana sana kumvuta chama wakijua kwamba Aziz ki wanaweza kumpoteza ...ila sijui kwamba endapo Aziz akiondoka syo rahisi Kwa machezaji kama yeye kuja kuwapa yanga asilimia 100 ambao Aziz aliwapa misimu iliyopita..
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

SHEMA

Mgeni
Jul 9, 2024
3
2
5
Azizi kaletea offer zaid ya 3 za timu kubwa barani Africa zenye pesa chafu...hivyo bas sy rahis Kwa yeye kusalia yanga ndy maana yanga walipambana kupata Saini ya chama wakijua wanaweza kumpoteza Aziz na mpaka sasa hajatia Saini yanga ...na endapo ataondoka sy rahis Kwa machezaji mengine kukupa kile ambacho Aziz alikua anawapa yanga asilimia 100
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

livinus

Mgeni
Jul 9, 2024
2
2
5
Wasije kumuacha licha ya sajili zilizo fanyika Bado akuna mtu anae weza kufikia kiwango Cha azizi ko unaona kuwa Bado anaitajika sana
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Negros sm

Mgeni
Jul 9, 2024
1
1
5
Bado yanga hatupo vizur zaid kuleta champion hasa katika michuano ya kimataifa, hasa tukimuacha kiungo kama Kii stephano Azizi.
Tuingize pesa abaki kwani mpira ni fursa na ajira, ebu mpeni pesa na sisi tuburudike.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Suleiman

Mgeni
Jul 9, 2024
7
3
5
Simba kuleta kocha ambae muda mwingi Amekua kocha msaidizi Kwa takribsni Kila timu alizopita he ateleta mabadiliko????????
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

proches

Mgeni
Jul 7, 2024
1
1
5
RAIS wa klabu ya Yanga Sc Engineer Hersi Said amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado hajasaini nyongeza ya mkataba mpya klabuni hapo na kubainisha kuwa mazungumzo bado yanaendelea lakini hakuna kilichokamilika baina ya pande hizo mbili. Swali Ni Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?
Ni sahihi pengine kuna wazuri zaid yake na ambao wanaweza kukaba na kufunga kwa ubora
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Nyaccy

Mgeni
Jun 23, 2024
5
2
5
Engineer mwenyew alisha sema yanga ya sasa so yakung'ang'ania wachezaj bal wenyew ndo wanaing'anga'nia yanga sasa kama hataka kuongeza wampe thank you🙏🙏 tu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Jul 9, 2024
1
1
5
RAIS wa klabu ya Yanga Sc Engineer Hersi Said amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado hajasaini nyongeza ya mkataba mpya klabuni hapo na kubainisha kuwa mazungumzo bado yanaendelea lakini hakuna kilichokamilika baina ya pande hizo mbili. Swali Ni Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?
Tamaa imewaponza ni saw kumkimbiz mwiz Alf ww geto lak lip waz anamsajili chama akat Aziz ki han mkataba huy Kam wanasimba tungemchukuw2 nao waone uchung tuliopat walivy mchukuw chama
 
  • Like
Reactions: Kijiweni