Jichetueee naww kama ni rahisiHahaha nlivyokua mdogo nlikua naambiwa ukiwa chawa ni lazima ukose akili... Sikuwahi kuamini ila sasa nmeanza kuamini ... I SWEAR NAAMINI.
Machawa wote ni #ZeroBrains
Jichetueee naww kama ni rahisiHahaha nlivyokua mdogo nlikua naambiwa ukiwa chawa ni lazima ukose akili... Sikuwahi kuamini ila sasa nmeanza kuamini ... I SWEAR NAAMINI.
Machawa wote ni #ZeroBrains
Hupaswi kuweka utani unapowasilisha bajeti ya nchi !Ni kweli ila ni sehemu ya utani maana sidhani kama sheria zetu zinaruhusu hilo
Nchi hii, ndio maana mbunge wa geita msukuma anadharau wasomi, kwa sababu zakuongea ujinga, timu ya taifa stars haijawekwa kwa shilingi, then uje uweke timu za udhamini wa watu, wasomi tujifikilie kabla yakutenda, na udhalendo hakuna apo.“Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba nitoe pongezi kwa Mama yetu kwa ubunifu huo ambao umeliletea Taifa letu sifa na heshima 164 kubwa katika nyanja ya michezo”
“Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB”
“Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga
kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya”
Unatamani nembo ya timu gani ikae kwenye noti?