Kijiwe hiki kinawakutanisha mashabiki wa klabu ya Simba hapa Kijiweni ambapo tuwe tunajadiliana kuhusu klabu ya Simba na mambo yake kwa ujumla kama matokeo ya mechi, usajili na mechi za timu yetu
Huyu ndie mfungaji bora wa mda wote wa ligi kuu pia alikua akiwepo uwanjani anaakikisha utulivu unakuepo kwa wachezaji wenzake itoshe kusema ni mfano wa kuigwaJohn Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34!
Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi!
Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha.
Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..
Ni hatua kubwa na kwasababu ana utulivu naamini atafanya vizuri kwenye safari yake ya ukocha.John Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34!
Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi!
Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha.
Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..
mi nina wasiwasi na huo umri ila namtakia kila la heriJohn Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34!
Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi!
Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha.
Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..