Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

veronica

Mgeni
Jun 3, 2024
2
1
5
MSIMU UJAO SIMBA TUJIPANGE VIPI?

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24.

Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga dhidi ya Azam FC iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo. CRDB Federation Cup imepishana nalo kama ilivyokuwa kwenye taji la ligi.

Ukuta ule wa Simba wenye Che Malone baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 uliruhusu mabao 25 na safu ya ushambuliaji ilifunga mabao 59.

Wakati Simba ikishuhudia taji la ligi likiwa mikononi mwa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika iligotea hatua ya robo fainali ikikwama kutwaa taji hilo kubwa Afrika na iliposhiriki African Football Cup iligotea hatua ya robo fainali.

Simba ni mashuhuda wa bingwa mpya wa CRDB Federation Cup kuwa ni Yanga iliyoshinda kwa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC kwenye fainali iliyochezwa Juni 2 2024, Uwanja wa New Amaan Complex..
Iongeze wachezaji wapya kwenye safu ya ushambuliaji waliopo wanacheza kwa mazoea
 
dully

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
1
0
0
W

Watumie basi lao kubebea abiria ili tuone mafanikio yao
 
Bplm1664

Mpiga Chabo
May 30, 2024
13
0
0
FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba.

Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili anahusishwa na Simba SC, amesema hana tabu na yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa msimu ujao wa Mashindano.

Vipi wana SIMBA anatufaa?

Muhimu zanzibar finest ni muhimu sana kwetu na bado umri unamruhusu kuchezea clabu kubwa zaidi hivyo akujeee mbona anachelewa
FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba.

Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili anahusishwa na Simba SC, amesema hana tabu na yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa msimu ujao wa Mashindano.

Vipi wana SIMBA anatufaa?

KakaMkubwa

Mgeni
May 27, 2024
8

Anatufaa sana, ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa
 
KakaMkubwa

Mgeni
May 27, 2024
8
1
5
MSIMU UJAO SIMBA TUJIPANGE VIPI?

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24.

Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga dhidi ya Azam FC iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo. CRDB Federation Cup imepishana nalo kama ilivyokuwa kwenye taji la ligi.

Ukuta ule wa Simba wenye Che Malone baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 uliruhusu mabao 25 na safu ya ushambuliaji ilifunga mabao 59.

Wakati Simba ikishuhudia taji la ligi likiwa mikononi mwa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika iligotea hatua ya robo fainali ikikwama kutwaa taji hilo kubwa Afrika na iliposhiriki African Football Cup iligotea hatua ya robo fainali.

Simba ni mashuhuda wa bingwa mpya wa CRDB Federation Cup kuwa ni Yanga iliyoshinda kwa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC kwenye fainali iliyochezwa Juni 2 2024, Uwanja wa New Amaan Complex..
Wasikate tamaa wakae mezani waangalie walipokosea wajipange upya msimu ujao.
 
Leonard chengula

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
2
0
0
Apo wanasimba na viongozi kwa ujumla inabidi tukae kwa umoja wetuna kwa mshikamano tujuwe wapi tuliteleza ndipo tuanzie hapo ni hayoo tu kwa leo mm Leonard wa chunya
 
Jun 3, 2024
3
3
5
FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba.

Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili anahusishwa na Simba SC, amesema hana tabu na yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa msimu ujao wa Mashindano.

Vipi wana SIMBA anatufaa?

Fei ataangaika sana na jana cjamuona akivaa medal cjui alikimbilia wapi?
 
Imani

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
1
0
0
FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba.

Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili anahusishwa na Simba SC, amesema hana tabu na yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa msimu ujao wa Mashindano.

Vipi wana SIMBA anatufaa?

Tunamtakia kilalakheli
 
Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Usajili Wa Kimyakimya Umeanza SIMBA SC Kwa Kiungo Huyu Hapa

KLABU ya Simba SC Inafanya mambo yake kimya kimya ambapo kwa sasa imeelekeza jicho lake, kwa Kiungo mkata umeme aliyekuwa anakipiga SC Villa, Jina la Kenneth Semakula ni moja ya saini inayowindwa sana na mimba hiyo ya TANZANIA ili kujiunga msimu ujao.

Uongozi wa Simba unaamini kiungo huyo wanaweza kumpata kwa gharama ndogo kwa sababu, ni mchezaji ambaye yupo huru sokoni na wanamuona ataleta tija kikosini humo baada ya kutokuwa na matumaini na Msenegali, Babacar Sarr.

Mganda huyo amekuwa na kiwango bora sana kwa msimu uliomalizika, akiwa ameisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi hiyo na kuifanya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024/25

Kwa hapa Tanzania Kenneth Semakula amekuwa akihitajika na vila viwili, Azam FC na Simba SC, ambapo kila mmoja amekuwa akifanya nae mazungumzo, lakini hadi sasa Mnyama anapewa nafasi kubwa ya kuinasa saini ya kiungo huyo.

Simba inataka kuona kama wanaweza kupata bahati kama waliyoipata kwa Thadeo Lwanga ambaye ni Mganda aliyefanya vizuri sana klabuni hapo.

Simba inatakiwa kuboresha maeneo gani kwenye kikosi chake?
 
Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
56
54
5
Dar Es Salaam
UKWELI WOTE KUHUSU CHAMA NA MO DEWJI KUMGOMEA PESA ANAYOTAKA

Inaelezwa kwamba dili la Kiungo wa Zambia Clatous Chama kujiunga na Yanga linakaribia kukamilika, kutokana na upande wa Simba kushindwa kumtimizia mahitaji yake aliyoyataja kwenye mkataba wake mpya.

Ukweli mchungu kwa baadhi ya mashabiki wa Simba ni kwamba, wakati wowote Mzambia huyo dili la kwenda Yanga linaweza kukamilika baada ya mazungumzo kati yake na mabosi wa Wekundu wa Msimbazi kuingia utata.

Chama alikuwa anataka ongezeko la mshahara, pesa ya usajili, na nyumba nzuri ya kuishi, ili aweze kuongeza mkataba wa miaka miwili tena lakini Uongozi wa Simba unaona Chama, hasitahili kuongezwa mkataba wa miaka miwili.

Lakini pia Rais wa Heshima na muwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, MO amemuambia Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Salim Try Again kwamba hawezi kutoa pesa za usajili kwa mchezaji huyo.

Kinachosubiriwa kwa sasa tu, ni upande wa pili kukamilisha taratibu zote za usajili, huku pande wa Chama nao bado unajishauri kusaini mkataba huo na Yanga.
Itakumbukwa kuwa Chama ni mchezaji pendwa wa Simba ila kwa miaka ya hivi kaibuni matukio yake ya utovu wa nidhamu, yamekuwa yakiwachanganya zaidi mashabiki na kufikia hatua wengine kutaka asipewe mkataba mpya.

Simba ni kama wamechoka kumvumilia Chama, na wapo tayarii kumpa mkono wa kwaheri labda Bosi wa timu hiyo abadilishe mawazo kabla ya nyota huyo kusinya mkataba na Yanga.

Upande wa Luis Muquissone bado Uongozi wa klabu hiyo upo njia panda, kumbakiza kwa msimu ujao au wamuache andoke, baadhi ya Viongozi inaelezwa kuwa wanashawishi sana Luis abaki na apewe muda wa kucheza lakini wengine wanasema aachwe apishe wachezaji wengine.

Vipi wanasimba aende?
 
francosjr

Mgeni
May 2, 2024
7
4
5
Wachezaji siku hizi wamekuwa wakiweka madau makubwa sana kana kwamba wanazikomoa timu ila ifike mahali kama wanashindwa kukizi matakwa yake wamwache aende
 
FUNGO JR

Mgeni
May 18, 2024
12
3
5
Iyo ela anayotaka bola wamchukue akaminko mana Hadithi ya chama imekua ikijirudia kweny Kila usajili kwel amefanya vitu vingi simba ila inatosha😡
 
KakaMkubwa

Mgeni
May 27, 2024
8
1
5
Huenda msimu ujao vilio na majonzi vikaanza na kutawala mapema sana Simba SC.

1. Wanatafuta beki wa kimataifa wa kushoto wa kumchalenji Tshabalala.
2. Wamekubaliana Mgunda kuwa kocha mkuu wa kudumu na sasa hawako kwenye mazungumzo na kocha mwingine yeyote.
3. Ayoub Lakred yupo kwao likizoni, bado hajaamua hatima yake kama anaondoka au atasaini mkataba mpya ingawa tayari ofa ya mkataba mpya ashatumiwa.
4. Pa Omar Jobe anajadiliwa aondoke kwa mkopo au dili la kudumu.
5. Mo Dewji akikutana nao atafanya maamuzi ya mwisho ili kuona kama ataendelea kuwekeza pale au ameondoka jumla.
6. Chama anaweza kubaki Simba SC.
 
Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31

Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah!

Kama Mgunda anapewa timu basi wafanye usajili kupitia ripoti ya Mgunda, na kama wanatafuta kocha mpya wanatakiwa wampate kocha kwanza ndio atoe mapendekezo yake kulingana na mfumo wake anaopenda kutumia na aina ya wachezaji anaowataka kuwatumia ili wafit kwenye mfumo wake!

Huwezi kutumia ripoti ya kocha mwingine kumsajilia wachezaji kocha mwingine maana ujui huyo kocha mpya atahitaji wachezaji wa aina gani ili wafiti kwenye mifumo yake!

Kwa maana hiyo Simba kama anataka kufanya mambo kiuweledi anatakiwa apate kocha mpya kwanza na yeye ndio atoe mapendekezo ya usajili, vinginevyo yatakuwa yanajirudia yale yale ya kocha kuwapiga benchi wachezaji waliosajiliwa kwa gharama kubwa kwa kuwa atawaambia hawafit kwenye mifumo yake!

Kama Mgunda anapewa timu haina shida ripoti yake itumike lakini kama anaondoshwa iyo report haina maana!

Ni ushauri tu tunawapa mkipenda mchukue mkipenda mnaacha!
 
HAMIS THABIT SAID

Mpiga Chabo
May 2, 2024
2
0
0
Kiukweli kila inapofika msimu wa uaajiri chama huwa anapewa kiburi na yanga sasa imekuwa kama mchezo yaani mradi tu simba apande dau sasa simba tumeshtukia dili tumuache tu aende anako taka kwenda
 
Clintoni akanji

Mpiga Chabo
Jun 4, 2024
1
0
0
Ishu sio vilio na majonzi wao wameona kilichotokea msimu huu wamekoswa kuuawa kwa sababu ya sajili mbovu saivi kinachotakiwa sio presha bali ni akili iliyokomaa katika kufanya maamuzi