Kindege (Aviator) Kilivyosepa Na Milioni 7 Ya Mtaji Najihisi Kufa

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.

Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.

Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5 niliyokuwa nakatwa alafu yote nimeimaliza kwenye kindege cha aviator ndani ya siku 5 tu.

Nahisi kuna roho flani iliniongoza kwa sababu kwa akili ya kawaida najiona siyo mimi.

Lengo ilikuwa kubetia elfu 50 kama mtaji wa kubetia lakini kilichofata ni kupoteza milion 7.5 zote bila kubaki hata mia ndani ya siku 5 tu.

Hapa nilipo I wish hata nijitoe roho tu maana sijui ni wapi naanzia maisha tena pesa yote nishaipoteza kwenye uraibu wa kamari.

Kila nikiwaza nna miaka 30, sijaoa, sina biashara yoyote niliyoisimamisha kunilinda, sina maisha, kwa kifupi hiyo milion 7.5 nilitegemea ndiyo niingie nayo mtaani inilinde.

Lakini shetani kanikamata na kunikanda kisawa sawa.

Najiona mjinga wa kiwango cha Phd ndiyo maana nimejiita Zero Brainer, sina wa kumlaumu ila tujiepushe sana na uraibu hasa wa kubeti.

Mimi naweza nikafa leo ila sitaki vijana wenzangu yaje yawakute yaliyonikuta mimi sasahivi.

Mimi hali nnayopitia sasa kwa sababu ya kubeti nakosa maneno ya kuwaelezea ila siku nikifa mjua KINDEGE cha AVIATOR kimesababisha kifo changu .

KAMA UNAWEZA KUNISHAURI NISHAURI PIA NASOMA MAONI YENU
 
Seb Jr

Mgeni
May 20, 2024
3
2
5
Pole Sana kaka, at least umeona umekosa. Kuteleza kupo Tu, hapo anza upya, Sir God haijawahi kutuacha, anza na yeye, kila K2 kitakuwa sawa
 
  • Like
Reactions: sparks Grey

Lean

Mgeni
Aug 10, 2024
2
1
5
daa kaka pole sana. kwa maisha ya sasa pesa ndo kila k2 ila kumbuka ukiwa na vi2 viwili kati ya PESA na UHAI ni maendeleo sana na nibaraka za mungu ila pesa zimepotea sio kwamba na uhai umepotea NO: usïkätë tâmåæ brother
 
  • Like
Reactions: sparks Grey

Honest'G

Mgeni
Jun 13, 2024
14
2
5
Pole sana, hilo ni funzo kubwa kwetu sote wana kijiweni.. Wiki kadhaa zilizopita admini wetu alieleza ni kwanamna gani huu mchezo wa Avietor unavyo filisi watu, lkn kuna watu walikaza mafuvu, ona sasa yaliyo mkuta kijana mwenzetu.

Bina fsi nakikubali sana hiki kijiwe chetu coz tunapata chakula cha ubongo chenye utondoti wamaana kabisa.
 
sadiki james

Mgeni
Jun 13, 2024
18
7
5
Naomba usijaribu hata kidogo kutamani kufa broo kukosea kupo ila hakuna maisha matamu kama kuishi, mungu kakupa akili fanya uamke pambana, ungekua jirani ningekupa ng'ombe wa kukupa ubize kidogo, ila pole sana mzee baba
 
  • Like
Reactions: sparks Grey

KDG

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
1
0
0
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.

Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.

Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5 niliyokuwa nakatwa alafu yote nimeimaliza kwenye kindege cha aviator ndani ya siku 5 tu.

Nahisi kuna roho flani iliniongoza kwa sababu kwa akili ya kawaida najiona siyo mimi.

Lengo ilikuwa kubetia elfu 50 kama mtaji wa kubetia lakini kilichofata ni kupoteza milion 7.5 zote bila kubaki hata mia ndani ya siku 5 tu.

Hapa nilipo I wish hata nijitoe roho tu maana sijui ni wapi naanzia maisha tena pesa yote nishaipoteza kwenye uraibu wa kamari.

Kila nikiwaza nna miaka 30, sijaoa, sina biashara yoyote niliyoisimamisha kunilinda, sina maisha, kwa kifupi hiyo milion 7.5 nilitegemea ndiyo niingie nayo mtaani inilinde.

Lakini shetani kanikamata na kunikanda kisawa sawa.

Najiona mjinga wa kiwango cha Phd ndiyo maana nimejiita Zero Brainer, sina wa kumlaumu ila tujiepushe sana na uraibu hasa wa kubeti.

Mimi naweza nikafa leo ila sitaki vijana wenzangu yaje yawakute yaliyonikuta mimi sasahivi.

Mimi hali nnayopitia sasa kwa sababu ya kubeti nakosa maneno ya kuwaelezea ila siku nikifa mjua KINDEGE cha AVIATOR kimesababisha kifo changu .

KAMA UNAWEZA KUNISHAURI NISHAURI PIA NASOMA MAONI YENU
Unaweza usiwe na hata mia ila ukala, ukalala siku ikaisha. Pesa sio kila kitu. Pesa uja na kusepa. KIKUBWA NA KILA KITU NI UHAI
 
sparks Grey

Mpiga Chabo
Jul 20, 2024
2
0
0
Nikweli kijana mwenzetu umeteleza na umejua umeteleza wap so ningekuomba liwe funzo kwako na sio kukataa Tamaaaa Maana PESA zipo tyu Fanya uamke akili yako upambane ndg yng shateni asikuzidi akili kutafakili mambo mengine we ni Bado kijana na unawez Kupamban piah nikupe tyu nna rafiki yang yeye alikosa karibia million 400 na zilichukuliwa na mwanamke na haupo nae saivi na Bado upo anapambana so bro never loose hope stay focus Pesa zipo tyu ndg yetu msingi mtangulize Mwenyez Mungu tyu Mbele ya safari yako
 
Simpleman

Mgeni
Aug 11, 2024
1
1
5
Hakuna Dhambi mbaya ambayo Mungu haipendi kama kukata tamaa, zawadi pekee tuliyopewa na Mungu ni uhai...hizo pesa zinatafutwa na akili tulizonazo alaf kwanza ni makaratasi huja na kupotea sasa hapo chagua moja kati ya Kumkasrisha Mungu kujitoa uhai aliokupa au uanze na zero mpka Hero...
#Tunaishi alafu tunaishia.
 
  • Like
Reactions: sparks Grey

sylvia

Mgeni
May 22, 2024
10
7
5
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.

Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.

Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5 niliyokuwa nakatwa alafu yote nimeimaliza kwenye kindege cha aviator ndani ya siku 5 tu.

Nahisi kuna roho flani iliniongoza kwa sababu kwa akili ya kawaida najiona siyo mimi.

Lengo ilikuwa kubetia elfu 50 kama mtaji wa kubetia lakini kilichofata ni kupoteza milion 7.5 zote bila kubaki hata mia ndani ya siku 5 tu.

Hapa nilipo I wish hata nijitoe roho tu maana sijui ni wapi naanzia maisha tena pesa yote nishaipoteza kwenye uraibu wa kamari.

Kila nikiwaza nna miaka 30, sijaoa, sina biashara yoyote niliyoisimamisha kunilinda, sina maisha, kwa kifupi hiyo milion 7.5 nilitegemea ndiyo niingie nayo mtaani inilinde.

Lakini shetani kanikamata na kunikanda kisawa sawa.

Najiona mjinga wa kiwango cha Phd ndiyo maana nimejiita Zero Brainer, sina wa kumlaumu ila tujiepushe sana na uraibu hasa wa kubeti.

Mimi naweza nikafa leo ila sitaki vijana wenzangu yaje yawakute yaliyonikuta mimi sasahivi.

Mimi hali nnayopitia sasa kwa sababu ya kubeti nakosa maneno ya kuwaelezea ila siku nikifa mjua KINDEGE cha AVIATOR kimesababisha kifo changu .

KAMA UNAWEZA KUNISHAURI NISHAURI PIA NASOMA MAONI YENU
Poleh Sana bro
Kukosea kupo
Kuanza upya sio dhambi

Mshirikishe Mungu omba toba jichunguze unaujuzi wa kitu gani anzia hapo
 
MIKAGEORGE

Kilochobaki kwa aliyekata tamaa ni kifo na kujitoa uhai ni dhambi kwa MUNGU mrudie muumba wako naye atakurudia always God hutoa nafasi ya pili endapo upo tayar kuanza upya usisahau wew sio wa kwanza kupoteza wapo wengi sana kam wew walopotez Zaid yako ila MUNGU akawap nafasi ya pili leo wamebadilika huna cha kubadilisha kweny history ila unawez kubadilisha kesho endapo utakubali hiyo hali na kumkabidh MUNGU