Shida sio timu shida ni investment,timu za yanga na simba hazina permanent investors kama ilivyo kwa azam fc.pia sio timu zinazomilikiwa na taasisi za kiserikali.kwaiy inamlazimu mwekezaji atoe ela ya mfukoni ili kujenga uwanja na sio mapato ya timu.mara nyingi viwanja vinavyojengwa na taasis za serikali hutokana na mikopo mikubwa ya riba nafuu inayowawezesha kwenye ujenzi ambayo inakuwa vigumu kwa taasisi binafsi kupata mikopo kama hiyo.na mapato ya timu zetu hayajafiki kiwango cha kujenga uwanja kama timu za ughaibuni