Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

ommy. tz001

Mgeni
Aug 19, 2024
3
1
5
Kutokua na kiwanja sio ishu vipo vilabu vikubwa na vikongwe dunian achana na afrika Zinacheza ligi kubwa na bora baran ulaya na hazijawah kumilik uwanja mpira(AC MILAN & INTER MILAN),Kila timu inawndeshwa kwa malengo sio kwa sababu fans wanasema au mtu kasema..
👊 Umetisha sn kaka hatar sn ww
 

Nyaccy

Mgeni
Jun 23, 2024
5
2
5
 Hv twende na ukwel simba na yanga zkijenga uwanja je kwa mkapa ata cheza nan?
Mim nahc kuna uwezekano ikawa sababu ukisema wadhamin wanatamaa hyo s kwel maana kuwa na uwanja ni jambo lenye faida kubwa mno
 

ELIYA ZEPHANIA

Mpiga Chabo
Jun 29, 2024
1
0
0
Mimi naona Simba na yanga ni timu ambazo zimemilikiwa na watu na wanachama kmc ni timu ya manispaa nd maana mfano mo kujenga uwanja ni gumu kwani ck yoyote anaweza akatoka simba
 

Dominick Mosses Mbisi

Mpiga Chabo
Jul 1, 2024
2
0
0
Kwa ukweli sababu za msingi hawana kuna baadhi wanaamini ni timu za siasa zaidi hivyo wanahisi haviendeshwi kwa weledi bali ni kwa matakwa ya ya serikali
 

Attachments

  • ytj6n9.jpg
    ytj6n9.jpg
    280.7 KB · Somwa: 0

jaja

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
1
0
0
Shida sio timu shida ni investment,timu za yanga na simba hazina permanent investors kama ilivyo kwa azam fc.pia sio timu zinazomilikiwa na taasisi za kiserikali.kwaiy inamlazimu mwekezaji atoe ela ya mfukoni ili kujenga uwanja na sio mapato ya timu.mara nyingi viwanja vinavyojengwa na taasis za serikali hutokana na mikopo mikubwa ya riba nafuu inayowawezesha kwenye ujenzi ambayo inakuwa vigumu kwa taasisi binafsi kupata mikopo kama hiyo.na mapato ya timu zetu hayajafiki kiwango cha kujenga uwanja kama timu za ughaibuni
 

Mo Tz

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
1
0
0
Mpaka sasa ukizizungumzia timu zenye historia kubwa na kongwe katika soka la Tanzania huwezi kuacha kuwataja Simba na Yanga ambazo ni klabu zinazomilikiwa na wanachama pamoja na wawekezaji kwa namna moja au nyingine. Tumeuona uwanja wa Manisapaa ya Kinondoni? Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?
Simba na yanga sio kwamba wanashindwa kuwa na viwanja ivi unategemea Simba na yanga wakiwa na viwanja vyao Nani atakae chezea uwanja wa taifa kwa namna moja ama nyingine serikali inawawekea vikwazo ili ziendelee kutumia kiwanja icho ili waendelee kupata kipato kupitia uwanja uwo katk mechi za Simba na yanga.
 

Honest'G

Mgeni
Jun 13, 2024
10
1
5
Mada dhaifu sana

Uwanja niwa Manispaa ya Kinondoni
Mapato wanayopata simba na yanga kwa mwaka, hayawezi lingana na mapato ya manispaa ya kinondoni kwa mwaka.

Kama uwanja ungejengwa kwa mapato yaliyopatkana kutokana na KMC FC tungekuwa na jambo la kuwauliza hawa SSC & YNG.
Nafikili busara itumike mjadala huu ufungwe.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 

one meter

Mpiga Chabo
Aug 20, 2024
1
0
0
Tatizo timu ni zawananchi mtu ata pambania kufanikisha uwanja wanatokea wazee kama wakina Magoma wanakatisha watu,ndio mana kila mtu akiingia pale anajua hawa watu Havana shukrani anapiga zake anaondoka
 

CAPTN

Mpiga Chabo
Aug 20, 2024
1
0
0
Mpaka sasa ukizizungumzia timu zenye historia kubwa na kongwe katika soka la Tanzania huwezi kuacha kuwataja Simba na Yanga ambazo ni klabu zinazomilikiwa na wanachama pamoja na wawekezaji kwa namna moja au nyingine. Tumeuona uwanja wa Manisapaa ya Kinondoni? Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?
SIASA....
 

Imma MK

Mgeni
May 2, 2024
16
5
5
Unaambiwa budget ya chini kabisa ya ujenzi wa kiwanja ni sio chini ya one billion up to two billion

Tukija kwenye suala la mapato na matumizi mfano ya Yanga mpaka msimu umeisha walitumia zaiidi ya 10B na ku gain chini ya 10B hiyo ni kumaanisha kuwa Team zetu bado kwanza zina struggle kwenye swala la uchumi mpaka zinafikia mahali zinajikopa yani