Nakubaliana na mtoa hoja,Hivi tuweke ushabiki pembeni Zimbwe kaingiaje pale, Mudathir aliyehamua mechi karibu nne za Yanga na ile super performance yuko wapi,kama Zimbwe kaingia basi Lusajo Mwaikenda mwenye assist 7 na goli moja kwa nini asiingie, Tatizo imekalilika kwamba akiwepo mchezaji wa Yanga lazima na wa Simba awepo hata kama hakustahili hii yote ni kutaka kubalance.