Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
1000285748.jpg

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
 
Amosi Simon

Mgeni
May 26, 2024
13
5
5
Lautaro Martinez @Eltoro
Hutu asipochukua hii tuzo basi zitakua ni figisu tu...
Kachukia ligi kuu ya Italia
Kachukua ufungaji bora wa serie A
Kachukua copa America 🇦🇷
Kachukua ufungaji bora wa Copa America pia..
Sasa sijui nini kitafanya asipewe..🇦🇷🇦🇷
 
Baraka simba

Mgeni
Aug 24, 2024
4
1
5
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
View attachment 1546

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
Vin jr bila kupinga
 
Roy Creation

Mgeni
Jun 16, 2024
12
2
5
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
View attachment 1546

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
Rodri anastahili hii tuzo mark my words
kwa exceptional performance aliyoonyesha both club na national Team
 
SNAZY Gasper

Mgeni
Sep 3, 2024
14
9
5
Mtu anaye faa hii tuzo ni Jude belingham
1.mfungaji Bora wa laliga
2.top assist laliga
3.mchezaji Bora laliga
4.kachukua UEFA
5.Kafika fainali EURO
6.kachukua laliga
Huyu mwingereza anafaa bwana labda kama Kuna kigezo kingine aisee tukumbuke ya modric Jude akikosa basi kunaupendeleo kabisa.
 
Wistabby

Mgeni
Jun 22, 2024
20
2
5
Apo wengi watapungua kwenye mkeka lakini for my self halaand na vin jr wana prority kubwa mana kigezo kikubwa ni UEFA na timu ya taifa japo Euro na copa america zinazingatiwa vini itakuwa fresh zaid👈
 
Wistabby

Mgeni
Jun 22, 2024
20
2
5
U
Mtu anaye faa hii tuzo ni Jude belingham
1.mfungaji Bora wa laliga
2.top assist laliga
3.mchezaji Bora laliga
4.kachukua UEFA
5.Kafika fainali EURO
6.kachukua laliga
Huyu mwingereza anafaa bwana labda kama Kuna kigezo kingine aisee tukumbuke ya modric Jude akikosa basi kunaupendeleo kabisa.
Upo sahihi mkuu sema Jude Bellingham nae anastahili lakini izo sifa wanazowengi katika nominees
 
blvck

Mgeni
Jun 13, 2024
4
2
5
Lautaro Martinez @Eltoro
Hutu asipochukua hii tuzo basi zitakua ni figisu tu...
Kachukia ligi kuu ya Italia
Kachukua ufungaji bora wa serie A
Kachukua copa America 🇦🇷
Kachukua ufungaji bora wa Copa America pia..
Sasa sijui nini kitafanya asipewe..🇦🇷🇦🇷
UEFA hajachukua kitu chochote zaidi ya kushiriki😂
 
  • Like
Reactions: Bplm1664