Mabadiliko gani ambayo Simba wanapaswa kuyafanya kwenye kikosi chao?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Ligi Kuu ya NBC ni rasmi kuwa imetamatika kwani tayari bingwa ameshajulikana ambaye ni Yanga. Wapo amabo bila shaka wana mawazo yao juu ya usajili ndani ya kikosi cha Simba. Mabadiliko gani ambayo Simba wanapaswa kuyafanya kwenye kikosi chao kwa ajili ya kufanya vyema msimu ujao?


Kama huna JISAJILI kwa njia hizi zifuatazo :


▶️Kwanza ingia http://nipo.kijiweni.co.tz

▶️Kisha gusa neno JIUNGE

▶️ Anza Kwa kujaza
↪️Jina Utakalotumia hapa KIJIWENI
↪️Kisha Email Yako
↪️Password Utakayotumia Ukiwa Unaingia KIJIWENI Kupost Mikeka
↪️Jinsia Yako
↪️Jibu Swali la 1+1
↪️Kisha bonyeza neno JIUNGE

▶️Baada ya hapo Forum itafunguka na utaona VIJIWE mbalimbali ingia KIJIWE Chochote Kisha Anza Kuandika Makala Zako Mbalimbali


"Mtaa Unaongea"
 
Last edited:
  • Like
Reactions: kassimu simwe

Cambiasso

Mgeni
May 20, 2024
1
1
5
Uongozi wa Simba upigaji ni mwingi lakin pia Sina Iman kama Mohamed zile billion20 alizosema amezieka kweli mana kama kaeka mbona usajili mbovu hivi Yani tumemshindwa manzoki Kwa million 200 kweli
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

bysanini

Mgeni
May 16, 2024
3
1
5
simba pesa ipo ya kutosha na waache tabia ya kuchukua mchezaji ambaye amepafomu mechi moja waangalia background sio mechi moja mchezaji kuperform anastahili kusajiliwa
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

nkoko

Mgeni
May 6, 2024
4
1
5
Viongozi wote waliopo sasa wafungashe vilago isipokuwa msemaji tu maana yeye sio mtendaji wa moja kwa moja, na watakaokuja wawe ni wa mpira na si vinginevyo.

Mwekezaji (MO) kama hataweza kusimamia mwenyewe basi aweke mtu wake asimamie tim.

Wasajili wachezaji wamaana, waachane na mtindo wa kuchukua wachezaji waliochwa.

Klabu iwe na falsafa yake ya mpira na makocha watafutwe wa kwendana na falsafa hio. Mfano falsafa ya kupiga pasi nyingi na fupi fupi kuanzia nyuma mpaka mbele hui mfumo unatumiwa na Bayern Munich, au mfumo wa pasi ndefu unatumiwa na Atletica madarid, Ac millan, au mfumo wa kutembea na mpira unatumiwa na Real madrid. Wachezaji na makocha watafutwe wa kwendana na mfumo husika.

Mashabiki kuanzisha mfumo/mtindo wa pekee kushangilia, mfano kuimba wimbo mmoja, kupiga ngoma, n.k
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
May 15, 2024
3
1
5
Wafanye usajiri WA maana siyo sasa hvi porojo ya huyu anasajiriwa mara huyu mwisho WA SIKU syo hao tena wanaosajariliwa wanatuletea ilimradi wachezaji anyway sina mengi Sana admin.... NASUBLIA KWA HAMU FUNGATE IKIWEZEKANA WEKA YA NANE TISA NA KUMI KWA PAMOJA🔥🔥🔥🔥
 
  • Like
Reactions: Kijiweni