Manchester United tunalilia usajili na kuhuzunika baadhi ya wachezaji tunao wakoksa bure tu laikini
Kwa timu kama UTD hatuwez kusimama kwa mchezaj mmoja....timu kama Man City ambazo zimesimama tayar zinaongezea watu mmojammoja kama hivyo ila sisi we need mfumo mzima wa wachezaji wenye quality zinazofanana unapata uwiano na timu ina balance...
Sasa ukinunua mchezaj kama Mbappe halaf awaache wengine mbali kwa quality, bado tutafeli. Kwa sasa naona tutengeneze timu tu taratibu
Mr. Acacia