Mchezaji Gani Msimu Huu Ametisha Sana Ligi Kuu?

Ahazi Mwaikambo

Mpiga Chabo
May 17, 2024
2
0
0
Tumeona wachezaji wengi sana na wenye vipaji vya kutosha sana. Katik timu ambayo unaishabikia itaje kisha tuambie mchezaji gani ametisha sana katika timu hiyo ambayo unaishabikia?
Mwananchi kindakindaki hapa namkubali sana Le Proffessier Pacome huyu Mwamba ni fundi wa Zinaa ya soka hakika mwamba namkubali Hadi namuotaFB_IMG_1715928099958.jpg
 

Attachments

  • IMG-20240505-WA0020.jpg
    IMG-20240505-WA0020.jpg
    113.8 KB · Somwa: 2