Chama
A Ahazi Mwaikambo Mpiga Chabo May 17, 2024 2 0 0 May 17, 2024 #22 Kijiweni said: Tumeona wachezaji wengi sana na wenye vipaji vya kutosha sana. Katik timu ambayo unaishabikia itaje kisha tuambie mchezaji gani ametisha sana katika timu hiyo ambayo unaishabikia? Click to expand... Mwananchi kindakindaki hapa namkubali sana Le Proffessier Pacome huyu Mwamba ni fundi wa Zinaa ya soka hakika mwamba namkubali Hadi namuota Attachments IMG-20240505-WA0020.jpg 113.8 KB · Somwa: 2
Kijiweni said: Tumeona wachezaji wengi sana na wenye vipaji vya kutosha sana. Katik timu ambayo unaishabikia itaje kisha tuambie mchezaji gani ametisha sana katika timu hiyo ambayo unaishabikia? Click to expand... Mwananchi kindakindaki hapa namkubali sana Le Proffessier Pacome huyu Mwamba ni fundi wa Zinaa ya soka hakika mwamba namkubali Hadi namuota
A Abby mainoo Mpiga Chabo May 18, 2024 1 0 0 May 18, 2024 #23 Mie shabik wa simba ila mudathir katisha sana, perfectly substitution..